Kusudi Letu


Karibu

Ibada Zetu

Huduma Zetu

Mahali Tulipo

Kusudi Letu

Imani Yetu

Uongozi Wetu

Wamisionari
Wetu

Wasiliana Nasi

Niambie Zaidi
Juu Ya Wokovu!

English

 

Kusudi letu kama kanisa ni:
          "Kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kumjua na kumfuata Mungu, wakihudumiana pamoja katika familia ya wamwaminio."

Kuna mambo matano ambayo tunafanya kwa bidii ili kufanikisha kusudi hilo:
  1. Kuhubiri Injili ili watu wapate kuokoka
  2. Kuabudu, Mungu apate kutukuzwa
  3. Kutunzana, familia ya Mungu iwe nzima
  4. Kufundisha Biblia, Wakristo wapate kukomaa
  5. Kufanya huduma, kazi ya Mungu itendeke