Karibu


Karibu

Ibada Zetu

Huduma Zetu

Mahali Tulipo

Kusudi Letu

Imani Yetu

Uongozi Wetu

Wamisionari
Wetu

Wasiliana Nasi

Niambie Zaidi
Juu Ya Wokovu!

English

 

Karibu!
Je, unatafuta kanisa lenye urafiki utakapokaribishwa vizuri? Una moyo wa kusikia mafundisho ya Biblia yanayohusiana na mahitaji ya maisha yako ya kila siku? Je, umechoka "kutenda" dini na una hamu ya kufahamu maana ya kumjua Mungu na kumwabudu kweli kweli? Basi, kanisa letu linakufaa WEWE.

Bonyeza ili kukuza picha

Unakaribishwa kujiunga nasi katika ibada ya Jumapili hii ijayo, ama kuhudhuria mkutano mmojawapo wa kanisa letu. Ili kupata maelekezo ya kufika kanisani kwetu, ubonyeze anuani (link) ya "Mahali Tulipo" hapo kushoto. Ikiwa unapenda kujifunza zaidi juu ya kanisa letu, saa za ibada, huduma zetu mbalimbali, au imani yetu, maelezo hayo yote utayapata katika tovuti (web site) hii. Karibu, tutaonana Mbezi Chapel!

 
 

Send comments to Webmaster
Updated 27 Jun 2009